Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.

Radio: RFI Kiswahili
Category: Society & Culture
  • 179 
    - Historia ya Bendi ya Lelele Africa Music na shindano la filamu kwa kutumia simu ya mkononi
    Sun, 04 Jun 2023
  • 178 
    - Tamasha la kukuza utamaduni wa watu kutoka kabila la bashi huko Bukavu
    Sun, 28 May 2023
  • 177 
    - Historia ya Arthur Firmin na tamasha la Lelele Africa Music Taarab kutoka Mombasa
    Sun, 21 May 2023
  • 176 
    - Changamoto zilizopo baada ya kurejeshwa kwa vinyago vilivyoporwa na msanii Mbosso
    Sun, 14 May 2023
  • 175 
    - Makala kuhuus uandishi wa vitabu na Marcel Yabili na historia ya Bob Marley
    Sat, 06 May 2023
Show more episodes

More society & culture podcasts

More society & culture international podcasts