Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.

Radio: RFI Kiswahili
  • 217 
    - Matumizi ya sanaa kupigania haki za binadamu Africa
    Tue, 21 Mar 2023
  • 216 
    - Hedhi pasua kichwa kwa wasichana na wanawake
    Mon, 06 Mar 2023
  • 215 
    - Mchango wa vyombo vya habari kutetea haki za watoto
    Fri, 24 Feb 2023
  • 214 
    - Serikali ya Uganda yasitisha huduma za afisi ya haki za bindamu ya umoja wa mataifa
    Tue, 14 Feb 2023
  • 213 
    - Biashara ya ngono pwani ya Kenya
    Mon, 13 Feb 2023
Show more episodes

More podcasts

More international podcasts