Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.
Radio: RFI Kiswahili
Category: Science & Medicine
-
117- Utekelezaji wa mikataba ya kimazingira ili kuepukana na athari za mabadiliko ya tabianchiTue, 28 Mar 2023
-
116- Nchini DRC, kundi la MDP laanzisha kampeni ya kukusanya mifuko ya plastiki kutunza mazingiraTue, 14 Mar 2023
-
115- Umuhimu na uhifadhi wa wanyamapori na mimeaMon, 06 Mar 2023
-
114- Hali ya ukame, ukosefu wa mvua na chakula nchini KenyaTue, 28 Feb 2023
-
113- Umuhimu wa ardhioevu katika mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchiMon, 13 Feb 2023
Show more episodes
5