Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.

Radio: RFI Kiswahili
Category: Music
  • 156 
    - Burundani ya Muziki juma hili na Ali Bilali
    Fri, 09 Jun 2023
  • 155 
    - Rhumba ndani ya makala Muziki Ijumaa
    Sun, 28 May 2023
  • 154 
    - Burudani moto moto ndani ya muziki ijumaa
    Fri, 19 May 2023
  • 153 
    - Burudani Murua ndani ya Muziki Ijumaa
    Fri, 28 Apr 2023
  • 152 
    - Burudani ndani ya makala muziki ijumaa
    Fri, 21 Apr 2023
Show more episodes

More music podcasts

More music international podcasts