Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar anatekwa nyara na watu hao? Mfanyakazi wake Kwame atafanikiwa kumuokoa Bosi wake? Fuatilia haya kwenye tamthilia ya Talisman Brise hapa rfi kila siku ya jumapili ndani ya Makala ya Changu Chako Chako Changu.

Radio: RFI Kiswahili
Category: Education
 • 42 
  - Kwame arudi kwenye kituo cha utafiti,.
  Sun, 01 Jul 2012
 • 41 
  - Hatimaye Profesa awa huru,Kwame apongezwa
  Sun, 24 Jun 2012
 • 40 
  - Polisi yawaweka chini ya ulinzi watekaji nyara kabla ya kumuokoa Profesa Omar...
  Sun, 17 Jun 2012
 • 39 
  - Kwame na polisi wanafanikiwa kufika katika eneo aliloshikiliwa Profesa Omar
  Sun, 10 Jun 2012
 • 38 
  - Kwame afanikiwa kuwashawishi polisi na kuondoka nao..
  Sun, 03 Jun 2012
Show more episodes

More education podcasts

More education international podcasts