Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .

Radio: RFI Kiswahili
Category: Business
  • 198 
    - Miaka 2 madarakani ya Rais wa Tanzania
    Fri, 24 Mar 2023
  • 197 
    - Siku ya wanawake duniani na ushiriki katika ngazi za maamuzi
    Fri, 24 Mar 2023
  • 196 
    - Tanzania, Kenya na EU zafungua fursa za uwekezaji
    Wed, 01 Mar 2023
  • 195 
    - Madeni yanavyoendelea kuzikwamisha nchi masikini kupiga hatua
    Fri, 24 Feb 2023
  • 194 
    - Ni kufa au kupona, vita dhidi ya utakatishaji fedha na ukwepaji kodi barani Afrika
    Wed, 15 Feb 2023
Show more episodes

More business podcasts

More business international podcasts