Mjadala wa Wiki by RFI Kiswahili

Mjadala wa Wiki

Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.

Radio: RFI Kiswahili
Category: News & Politics
 • 100 
  - Rais wa DRC Felix Tshisekedi athibitisha kuwa uchaguzi utafanyika mwaka 2023
  Wed, 29 Sep 2021
 • 99 
  - Joto la kisiasa kuelekea uchaguzi nchini Kenya 2022
  Wed, 15 Sep 2021
 • 98 
  - Mapinduzi nchini Guinea na hali ya kisiasa kwa watawala barani Afrika
  Fri, 10 Sep 2021
 • 97 
  - Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amtaka naibu wake ajiuzulu
  Wed, 25 Aug 2021
 • 96 
  - Siku 100 za Waziri Mkuu wa DRC Sama Lukonde
  Thu, 12 Aug 2021
Show more episodes

More news & politics podcasts

More news & politics international podcasts